sw_tn/rev/03/intro.md

2.3 KiB

Ufunuo 03 Maelezo kwa jumla

Muundo na mpangilio

Sura ya 2 na ya 3 zinaunda kitenge kimoja. Sehemu hii mara nyingi hujulikana kama "barua saba kwa makanisa saba."Mtafsiri anaweza amua kuzitenganisha barua hizi moja kwa nyingine ili kuzitofautisha.

Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 3:7

Dhana muhima katika sura hii.

Roho saba za Mungu

Maana halisi ya maneno haya haiko wazi. Kuna uwezekana kama hii inaashiria Roho Mtakatifu na nambari saba inaashiria "ukamilifu". Inawezekana pia kama inaashiria roho saba ambazo zinazunguka kiti cha enzi cha Mungu. Sio ya lazima kufafanua hili kwenye tafsiri.

Nyota saba

Kuna uwezekano kama hii inaashiria viongozi wa makanisa. (Tazama:Ufunuo 1:20)

Tamathali muhimu za usemi katika hii sura

Mfano

Wasomi wengine wanachukulia sura ya ya 2 na ya 3 kama mfano. Wanaelewa haya makanisa kama aina ya makanisa ama vipindi vya kihistoria vya kanisa.Ni vyema kutafsiri hii kama maelekezo ya makanisa ya kale katika miji hii. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

Maneno,"Tazama, nasimama mlangoni na kubisha" ni mfano mungine inayoelezea utayari na kukubali kwake Yesu kumpokea mtu yeyote anayetubu na kumuamini. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/repent]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/believe]])

"Kama una sikio, sikia kile Roho anawaambia makanisa"

Maneno haya ni mwito wa kutubu kwa watu walio ndani ya kanisa.

Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii

"Malaika wa makanisa saba"

Neno la Kigiriki "Malaika" linaweza pia kutafsiriwa kama "wajumbe."Kuna uwezekano hii inaashiria wajumbe ama viongozi wa makanisa haya saba.

"The words of the one who"

The verses with these words can be difficult to translate. They do not make complete sentences. You may need to add "These are" to the beginning of these verses. Also, Jesus used these words to speak of himself as if he were speaking of another person. Your language may not allow people to speak of themselves as if they were speaking of other people. Jesus began speaking in Revelation 1:17. He continues to speak through the end of Chapter 3.

<< | >>