sw_tn/psa/145/008.md

8 lines
304 B
Markdown

# umejaa tele uaminifu wa agano
Mwandishi anazungumzia uaminifu wa agano kana kwamba ni kitu cha kimwili ambacho mtu anaweza kumiliki kiasi kikubwa chake. "ni mwaminifu kabisa kwa agano lako"
# rehema zake ziko juu ya kasi zake zote
"watu wanaweza kumwona akionesha huruma katika kila kitu afanyacho"