# umejaa tele uaminifu wa agano Mwandishi anazungumzia uaminifu wa agano kana kwamba ni kitu cha kimwili ambacho mtu anaweza kumiliki kiasi kikubwa chake. "ni mwaminifu kabisa kwa agano lako" # rehema zake ziko juu ya kasi zake zote "watu wanaweza kumwona akionesha huruma katika kila kitu afanyacho"