forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
483 B
Markdown
12 lines
483 B
Markdown
# sababishe ... ije chini ... gusa ... ifanye ... Tuma ... uwatawanye ... piga ... warudishe
|
|
|
|
Haya maneno yanatakiwa kutafsiriwa kama maombi na sio amri kwa sababu mwandishi anatambua kuwa Mungu ni mkuu zaidi yake.
|
|
|
|
# Sababisha anga izame
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) pasua anga wazi au 2) kunja mbigu kama tawi la mti linavyojikunja mtu anapotembea juu yake au kama mtu anavyokunja upinde kabla ya kupiga mishale.
|
|
|
|
# katika kuchanganyikiwa
|
|
|
|
"ili wasijue wawaze nini au wafanye nini"
|