forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
338 B
Markdown
8 lines
338 B
Markdown
# Yahwe yuko juu, lakini anawajali walio chini
|
|
|
|
Yahwe yuko juu ya uumbaji wote katika nguvu, nafasi, na mamlaka. Lakini shauku lake ni kwa wale walio wanyenyekevu wa moyo, watumishi kwa wote. Hii ni tofauti rahisi.
|
|
|
|
# wenye majivuno anawajua kwa mbali
|
|
|
|
Msemo huu unaweza kuwa unamaanisha kuwa Mungu sio mwaminifu kwa wale wenye majivuno.
|