sw_tn/psa/132/009.md

12 lines
419 B
Markdown

# Makuhani wako wavikwe na uadilifu
Uadilifu unazungumziwa kana kwamba ni nguo. "Watu watambue kuwa makuhani wako wana uadilifu" au "Nataka watu waone kuwa makuhani wako daima hufanya kilicho sawa"
# Kwa ajili ya mtumishi wako Daudi
"Kwa sabau ya kilichotokea kwa mtumishi wako Daudi."
# usigeuke kutoka kwa mfalme wake aliyetiwa mafuta
Hapa "kugeuka" inamaanisha kumkataa mtu. "usimuache mfalme uliyemtia mafuta"