forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
624 B
Markdown
12 lines
624 B
Markdown
# urithi
|
|
|
|
"zawadi" au "mali wa dhamani". Watoto kawaida hupokea urithi kutoka kwa wazazi wao. Urithi huenda kutoka kwa wazazi kwenda kwa watoto. Mstari huu unaonesha watoto kama urithi wa wazazi wao.
|
|
|
|
# Kama mishale kwenye mkono wa shujaa, ndivyo walivyo watoto wa ujanani
|
|
|
|
Mishale ni ya muhimu sana kwa shujaa kwa sababu inamlinda vitani. Watoto wanazungumziwa kana kwamba ni mishale ya shujaa. "Kuwa na watoto wengi kutakulinda"
|
|
|
|
# aliyejaza podo lake nao
|
|
|
|
Podo ni chombo kwa ajiil ya mishale. Kuwa na watoto wengi kunazungumziwa kana kwamba watoto walikuwa mishale ndani ya podo. "nyumba iliyojaa watoto" au" wato wengi"
|