forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
740 B
Markdown
16 lines
740 B
Markdown
# midomo yetu ilijawa na kicheko
|
|
|
|
Kucheka kunazungumziwa kana kwamba midomo yao ilikuwa ni chombo, na kicheko chao kilikuwa ndani yake. Inaweza kuwekwa wazi kuwa kicheko hiki kilikuwa na mrejesho wa furaha. "tulicheka kwa furaha"
|
|
|
|
# ndimi zetu na kuimba
|
|
|
|
Kitenzi "kujawa" kinaweza kuelezwa vizuri. Kuimba kunazungumziwa kana kwamba ndimi zao zilikuwa vyombo, na kuimba kulikuwa ndani yake. "ndimi zetu zilijawa na kuimba" au "tuliimba nyimbo za furaha"
|
|
|
|
# wakasema miongoni mwa mataifa
|
|
|
|
"watu wamataifa walisema miongoni mwao." Kiwakilishi nomino kinatumika kabla ya kutambulisha kinachozungumzia. Hii sio kawaida.
|
|
|
|
# Yahwe alitutendea mambo makuu; tumefurahi sana!
|
|
|
|
"Tumefurahi sana, kwa sababu Yahwe ametenda mambo makuu kwa ajili yetu!"
|