forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
701 B
Markdown
20 lines
701 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
|
|
|
# wimbo wa upaaji
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) "wimbo ambao watu waliimba walipokwenda Yerusalemu kusherehekea" au 2) "wimbo watu walioimba wakati wakipanda ngazi kwenda hekaluni" au 3) "wimbo ambao maneno yake ni kama ngazi."
|
|
|
|
# Yerusalemu, miguu yetu inasimama ndani ya malango yako!
|
|
|
|
Mwandishi anasitisha kuzungumza na wasikilizaji wake kwa muda na kuzungumza moja kwa moja na mji wa Yerusalemu. Yerusalemu inasemeshwa kana kwamba ni mtu anayeweza kusikia na kuandika.
|
|
|
|
# miguu yetu inasimama
|
|
|
|
Hapa "miguu" inamaanisha mtu mzima. "tunasimama"
|
|
|
|
# ndani ya malango yako
|
|
|
|
Hapa "malango" inamaanisha mji. "ndani yako, Yerusalemu"
|