sw_tn/psa/119/169.md

12 lines
460 B
Markdown

# TAVI
Hili ni jina la herufi ya ishirin na mbiliya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 169-176 unaanza na herufi hii.
# nipe uelewa katika neno lako
Mwandishi anazungumzia uwezo wa kuelewa kana kwamba ni kitu chenye umbo. "nisaidie nielewe neno lako"
# Ombi langu lifike mbele yako
Mwandishi wa zaburi anazungumzia maneno anayoyasema kana kwamba ni watu wanaotaka kuzungumza kwa mfalme. "Na usikie ombi langu"