# TAVI Hili ni jina la herufi ya ishirin na mbiliya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 169-176 unaanza na herufi hii. # nipe uelewa katika neno lako Mwandishi anazungumzia uwezo wa kuelewa kana kwamba ni kitu chenye umbo. "nisaidie nielewe neno lako" # Ombi langu lifike mbele yako Mwandishi wa zaburi anazungumzia maneno anayoyasema kana kwamba ni watu wanaotaka kuzungumza kwa mfalme. "Na usikie ombi langu"