# Ninafuata amri zako makini
"Ninatii amri zako makini"
# amri zako makini
Maana zingine zinazowezekana ni "shuhuda" au "sheria."
# Ninatunza maagizo yako
"Ninatii maagizo yako"