# Ninafuata amri zako makini "Ninatii amri zako makini" # amri zako makini Maana zingine zinazowezekana ni "shuhuda" au "sheria." # Ninatunza maagizo yako "Ninatii maagizo yako"