sw_tn/psa/119/131.md

12 lines
382 B
Markdown

# Ninafungua mdomo wangu na kuhema, kwa kuwa nina shauku na amri zako
Mwandishi anazungumzia hamu yake ya amri za Yahwe kana kwamba alikuwa mbwa anayehema kwa ajili ya maji. "nina shauku ya kweli na amri zako"
# Nigeukie
Kumgeukia mtu inamaanisha kuvuta nadhari kwa mtu huyo. "Nizingatie"
# wanaolipenda jina lako
Hapa neno "jina" linamwakilisha yahwe mwenyewe. "wanaokupenda"