sw_tn/psa/119/081.md

12 lines
423 B
Markdown

# KAFU
Hili ni jina la herufi ya kumi na moja ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 81-88 unaanza na herufi hii.
# Ninamatumaini katika neno lako
Hapa "neno" linawakilisha kile anachokisema Mungu. "Ninaamini kwa ujasiri kile unachosema"
# Macho yangu yanashauku ya kuona ahadi yako
Hapa "macho" yanawakilisha mtu mzima. "Nasubiri na kusubiri ili ufanye ulichoahidi kufanya"