# KAFU Hili ni jina la herufi ya kumi na moja ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 81-88 unaanza na herufi hii. # Ninamatumaini katika neno lako Hapa "neno" linawakilisha kile anachokisema Mungu. "Ninaamini kwa ujasiri kile unachosema" # Macho yangu yanashauku ya kuona ahadi yako Hapa "macho" yanawakilisha mtu mzima. "Nasubiri na kusubiri ili ufanye ulichoahidi kufanya"