sw_tn/psa/119/075.md

8 lines
290 B
Markdown

# katika uaminifu wako umenitesa
"umeniadhibu kwa sababu wewe ni mwaminifu." Mungu anaahidi kuwapa dhawabu wenye haki na kuwaadhibu watenda maovu, kwa hiyo ni mwaminifu kufanya alichosema atafanya.
# mtumish wako
Mwandishi anajieleza kama "mtumishi wako." mimi, mtumishi wako" au "mimi"