# katika uaminifu wako umenitesa "umeniadhibu kwa sababu wewe ni mwaminifu." Mungu anaahidi kuwapa dhawabu wenye haki na kuwaadhibu watenda maovu, kwa hiyo ni mwaminifu kufanya alichosema atafanya. # mtumish wako Mwandishi anajieleza kama "mtumishi wako." mimi, mtumishi wako" au "mimi"