sw_tn/psa/119/061.md

4 lines
192 B
Markdown

# Kamba za waovu zimeninasa
Katika sitiari hii, watu waovu walijaribu kumfanya mwandishi kutenda dhambi kama mwindaji anavyotafuta kumnasa mnyama kwa mtego. "Adui zangu wamejaribu kunishika"