# Kamba za waovu zimeninasa Katika sitiari hii, watu waovu walijaribu kumfanya mwandishi kutenda dhambi kama mwindaji anavyotafuta kumnasa mnyama kwa mtego. "Adui zangu wamejaribu kunishika"