sw_tn/psa/119/005.md

16 lines
296 B
Markdown

# nitawekwa thabiti
Mwandishi anazungumzia kuimarishwa katika amri za Mungu kana kwamba hakuna mtu anayeweza kumsogeza kimwili.
# kuangalia sheria zako
"katika kutii sheria zako"
# sitaaibishwa
Mwandishi hataki kuaibishwa akiwa katika uwepo wa Mungu.
# amri zako zote
"yote uliyo tuamuru"