sw_tn/psa/118/003.md

12 lines
363 B
Markdown

# Acha nyumba ya Haruni iseme
Hapa neno "nyumba" linawakilisha familia na uzao wa mtu. Msemo huu unamaanisha makuhani, ambao walikuwa uzao wa Haruni. "Acha uzao wa Haruni useme" au "Acha makuhani waseme"
# Uaminifu wake wa agano unadumu milele
"Anatupenda kwa uaminifu milele"
# wafuasi waaminifu wa Yahwe
"wale wanaomcha Yahwe" au "wale wanaomwabudu Yahwe"