sw_tn/psa/118/001.md

16 lines
345 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Mpeni Yahwe shukrani, kwa kuwa ni mwema
"Mshukuruni Yahwe kwa mambo mema ambayo huwa anafanya"
# Uaminifu wake wa agano unadumu milele
"Anatupenda kwa uaminifu milele"
# Acha israeli iseme
Neno "Israeli" linawakilisha watu wa Israeli. "Acha watu wa Israeli waseme"