# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Mpeni Yahwe shukrani, kwa kuwa ni mwema "Mshukuruni Yahwe kwa mambo mema ambayo huwa anafanya" # Uaminifu wake wa agano unadumu milele "Anatupenda kwa uaminifu milele" # Acha israeli iseme Neno "Israeli" linawakilisha watu wa Israeli. "Acha watu wa Israeli waseme"