sw_tn/psa/116/009.md

20 lines
432 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mtu aliyetunga zaburi hii anaendelea kuzungumza.
# katika nchi ya walio hai
"kwenye dunia hii ambapo watu wako hai." Hii ni tofauti na sehemu ya wafu.
# Nimeumizwa sana
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Ninahangaika sana" au "Watu wananiumiza sana"
# Nikasema haraka
"Nikasema haraka sana" au "Nikasema bila kutafakari"
# Wanaume wote ni waongo
"Kila mtu ni muongo" au "Watu wote ni waongo"