forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
978 B
Markdown
28 lines
978 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
|
|
|
# Sio kwetu, Yahwe, sio kwetu
|
|
|
|
Mwandishi anarudia msemo "sio kwetu" ili kusisitiza kwamba hawastahili kupokea heshima anayostahili Yahwe pekee. "Usilete heshima kwetu, Yahwe"
|
|
|
|
# kwetu
|
|
|
|
Neno "kwetu" linamaanisha watu wa Israeli.
|
|
|
|
# lakini kwa jina lako leta utukufu
|
|
|
|
Hapa neno "jina" linaashiria Yahwe mwenyewe. "lakini leta utukufu kwako mwenyewe"
|
|
|
|
# kwa ajili ya uaminifu wako wa agano
|
|
|
|
"kwa sababu ya uaminifu wako wa agano"
|
|
|
|
# Kwa nini mataifa yaseme, "Yuko wapi Mungu wao?"
|
|
|
|
Hili swali la balagha linasisitiza kuwa hakuna sababu ya mataifa kusema wanayosema. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Watu wa mataifa hawatakiwa kuwa na uwezo wa kusema, 'Yuko wapi Munguwao?'"
|
|
|
|
# Yuko wapi Mungu wao?
|
|
|
|
Watu wa mataifa mengine wanatumia swali hili kuwadhihaki watu wa Israeli na kuonesha kuwa hawaoni Yahwe akiwasaidia. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Mungu wenu hayupo hapa kuwasaidia"
|