forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
515 B
Markdown
20 lines
515 B
Markdown
# Anawatuliza walio na njaa huko
|
|
|
|
Hapa neno "huko" linamaanisha sehemu ambazo Yahwe alifanya chechemi na maziwa kutokea. Pia msemo "walio na njaa" inamaanisha watu walio na njaa. "Yahwe anafanya watu walio na njaa kuishi huko"
|
|
|
|
# kupanda mashamba ya mizabibu
|
|
|
|
"ya kupandia mizabibu"
|
|
|
|
# na kuleta mavuno tele
|
|
|
|
"ili walete mavuno tele"
|
|
|
|
# kwa hiyo wanakuwa wengi sana
|
|
|
|
"ili watu wao wawe wengi sana"
|
|
|
|
# Haachi ng'ombe wake wapungue idadi
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali chanya. "Huweka ng'ombe wao kuwa wengi sana"
|