sw_tn/psa/104/021.md

16 lines
265 B
Markdown

# mawindo
Huyu ni mnyama ambaye ni chakukla kwa ajili mnyama mwingine.
# na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu
"lakini wanamtegemea Mungu kutoa chakula chao"
# kurudi nyuma
"rudi" au "ondoka mbali"
# mapango
nyumba za baadhi ya mamalia na wanyama wadogo