# mawindo Huyu ni mnyama ambaye ni chakukla kwa ajili mnyama mwingine. # na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu "lakini wanamtegemea Mungu kutoa chakula chao" # kurudi nyuma "rudi" au "ondoka mbali" # mapango nyumba za baadhi ya mamalia na wanyama wadogo