sw_tn/psa/096/009.md

20 lines
392 B
Markdown

# Yahwe mkiwa mmevaa mavazi yanayotukuza utakatifu wake
Mtu anapaswa kuvaa mavazi yanayoonesha kuwa anelewa kwamba Yahwe ni mtakatifu. "Yahwe, na vaeni nguo za kufaa kwa sababu yeye ni mtakatifu."
# Tetemekeni
kutetemeka kwa sabau ya hofu
# dunia yote
"watu wote wa duniani"
# Dunia pia imethibitishwa
Alithibitisha pia dunia"
# haiwezi kutikiswa
"hakuna kitu kinachoweza kuitikisa"