# Yahwe mkiwa mmevaa mavazi yanayotukuza utakatifu wake Mtu anapaswa kuvaa mavazi yanayoonesha kuwa anelewa kwamba Yahwe ni mtakatifu. "Yahwe, na vaeni nguo za kufaa kwa sababu yeye ni mtakatifu." # Tetemekeni kutetemeka kwa sabau ya hofu # dunia yote "watu wote wa duniani" # Dunia pia imethibitishwa Alithibitisha pia dunia" # haiwezi kutikiswa "hakuna kitu kinachoweza kuitikisa"