sw_tn/psa/092/001.md

16 lines
325 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# kuimba sifa kwa jina lako
Maneno "jina lako" ni njia nyingine ya kusema "wewe." "kuimba sifa kwako"
# kutangaza uaminifu wako wa agano
"kuwaambia watu kuwa wewe ni mwaminifu kutunza agano alko"
# ukweli wako
"kuwa kila kitu unachosema ni kweli"