# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # kuimba sifa kwa jina lako Maneno "jina lako" ni njia nyingine ya kusema "wewe." "kuimba sifa kwako" # kutangaza uaminifu wako wa agano "kuwaambia watu kuwa wewe ni mwaminifu kutunza agano alko" # ukweli wako "kuwa kila kitu unachosema ni kweli"