sw_tn/psa/088/017.md

20 lines
748 B
Markdown

# Yamenizunguka kama maji siku nzima
Mwandishi anafananisha m"matendo ya hasira" ya Mungu na "matendo ya kutisha" na mafuriko ya maji. "Siku nzima wananitisha kuniangamiza kama mafuriko"
# Yamenizunguka
Kinachozungumziwa ni "matendo ya hasira" ya Mungu na "matendo ya kutisha" kutoka katika mstari uliopita.
# yamenizunguka yote
Mwandishianazungumzia "matendo ya hasira" na "matendo ya kutisha" kana kwamba ni adui waliokuwa wakijaribu kumshika na kumuua. "wamenizunguka kama askari adui"
# kila rafiki na anaye nijua
"kila mtu ninayempenda na kumjua"
# Anijuae pekee ni giza
Hii inazungumzia giza kana kwamba ni mtu ambaye anaweza kuwa rafiki na mtu mwingine. Mwandishi anasisitiza kuwa anajihisi upweke. "Kila sehemu ninayoenda ni giza"