# Yamenizunguka kama maji siku nzima Mwandishi anafananisha m"matendo ya hasira" ya Mungu na "matendo ya kutisha" na mafuriko ya maji. "Siku nzima wananitisha kuniangamiza kama mafuriko" # Yamenizunguka Kinachozungumziwa ni "matendo ya hasira" ya Mungu na "matendo ya kutisha" kutoka katika mstari uliopita. # yamenizunguka yote Mwandishianazungumzia "matendo ya hasira" na "matendo ya kutisha" kana kwamba ni adui waliokuwa wakijaribu kumshika na kumuua. "wamenizunguka kama askari adui" # kila rafiki na anaye nijua "kila mtu ninayempenda na kumjua" # Anijuae pekee ni giza Hii inazungumzia giza kana kwamba ni mtu ambaye anaweza kuwa rafiki na mtu mwingine. Mwandishi anasisitiza kuwa anajihisi upweke. "Kila sehemu ninayoenda ni giza"