sw_tn/psa/085/012.md

8 lines
272 B
Markdown

# Haki itamtangulia na kutengeneza njia kwa ajili ya hatua zake
Mungu kufanya kilicho sawa kila sehemu aendayo inazungumziwa kana kwamba haki ni mtu ambaye humtangulia Mungu na kuandaa njia ya Mungu kupitia.
# hatua zake
Hapa "hatua" inawakilisha ambapo Mungu anapita.