sw_tn/psa/084/001.md

40 lines
805 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Kwa mwanamuziki mkuu
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu"
# weka katika Gitithi
Hii inaweza kuwa inamaanisha mtindo wa muziki.
# Zaburi ya wana wa Kora
"Hii ni zaburi ambayo wana wa Kora waliandika"
# Panapendeza kiasi gani
"Ni pazuri kiasi gani"
# na shauku na nyua za Yahwe
"Ninatamani sana kuwa katika nyua za Yahwe"
# nyua za Yahwe
Hapa "nyua" inawakilisha hekalu.
# hamu yangu kwa kwa hizo imanichosha
"hamu yangu imenichosha" au "nimechoka kwa sababu ninaitaka sana"
# Moyo wanguna kila kitu ndani yangu kinamwita
Hapa "moyo" unawakilisha mtu mzima. "Niita kwa kila kitu ndani yangu"
# Mungu aliye hai
Hii inamaanisha kuwa Mungu yu hai na pia ana uwezo wa kusababisha vitu vingine kuishi.