sw_tn/psa/080/004.md

8 lines
214 B
Markdown

# watu wako
Israeli
# Umewalishana mkate wa machozi na kuwapa machozi kunywa kwa wingi
Maneno "mkate wa machozi" na "machozi kunywa" ni sitiari ya huzuni endelevu. "Umehakikisha kuwa wana huzuni sana muda wote"