# watu wako Israeli # Umewalishana mkate wa machozi na kuwapa machozi kunywa kwa wingi Maneno "mkate wa machozi" na "machozi kunywa" ni sitiari ya huzuni endelevu. "Umehakikisha kuwa wana huzuni sana muda wote"