sw_tn/psa/078/064.md

20 lines
691 B
Markdown

# makuhani walianguka kwa upanga
"adui waliua makuhani wengi wa Israeli kwa kutumia upanga"
# wajane wao walishndwa kulia
Maana zinazowezekana ni 1) mtu aliwalazimisha wajane kutolia au 2) makuhani wengi sana walikufa hadi hakukuwa na mazishi sahihi.
# wajane
wanawake ambao waume wao wamekufa
# Bwana aliamka kama mtu kutoka usingizini
"ilikuwa kana kwamba Bwana aliamka kutoka usingizini"
# kama shujaa anayepiga kelele kwa sababu ya mvinyo
Maana zinazowezekana ni 1) kama shujaa aliyekunywa mvinyo mwingi na akawa na hasira kwa sababu aliamshwa na kwa hio alitaka kupigana au 2) kama shujaa aliyekunywa sana mvinyo na sasa anaweza kufikiri na kupigana vizuri kwa sababu amelala.