sw_tn/psa/078/062.md

24 lines
554 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendelea kuelezea kile ambacho Mungu alifanya kwa watu wa Israeli.
# Aliwatoa watu wake kwa upanga
Asafu anawazungumzia watu wa Mungu kana kwamba walikuwa kitu kidogo.
# alikasirishwa na urithi wake
"alikasirishwa na watu aliosema watakuwa wake milele"
# Moto uliwameza vijana
Maana zinazowezekana ni 1) "Adui walitumia moto kuwaua vijana wao wote" au 2) "Vijana wao walikufa upesi vitani kama moto unavyochoma majani yaliyokauka."
# wameza
"Kumeza" ni kula kila kitu haraka.
# arusi
sherehe wakati watu wakioa