sw_tn/psa/078/033.md

28 lines
647 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendelea kueleza kile ambacho Mungu alitenda kwa Waisraeli.
# alipunguza siku zao kuwa fupi
"aliwaua wakati bado wako wachanga"
# miaka yao ilijaa na hofu
Asafu anazungumzia miaka kana kwamba ilikuwa ni vyombo. "mwaka baada ya mwaka walikuwa wakiogopa kila wakati"
# kumtafuta
kumwomba walichohitaji afanye ili awalinde
# alipowaumiza, walianza ... walirudi na kumtafuta
Hawa ni watu tofauti ambao Mungu "alipunguza siku zao". Baadhi yao walipokufa, wengine walianza "kumtafuta" Mungu.
# walirudi
"walitubu" au "walijuta kweli kwa sababu ya dhambi zao"
# kwa bidii
"kwa haraka" au "kadri ya uwezo wao"