# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaendelea kueleza kile ambacho Mungu alitenda kwa Waisraeli. # alipunguza siku zao kuwa fupi "aliwaua wakati bado wako wachanga" # miaka yao ilijaa na hofu Asafu anazungumzia miaka kana kwamba ilikuwa ni vyombo. "mwaka baada ya mwaka walikuwa wakiogopa kila wakati" # kumtafuta kumwomba walichohitaji afanye ili awalinde # alipowaumiza, walianza ... walirudi na kumtafuta Hawa ni watu tofauti ambao Mungu "alipunguza siku zao". Baadhi yao walipokufa, wengine walianza "kumtafuta" Mungu. # walirudi "walitubu" au "walijuta kweli kwa sababu ya dhambi zao" # kwa bidii "kwa haraka" au "kadri ya uwezo wao"