sw_tn/psa/078/017.md

12 lines
202 B
Markdown

# Walimjaribu Mungu
Walimtaka Mungu kuthibitisha kuwa aliweza kufanya alichosema atafanya kabla ya kumwamini.
# mioyoni mwao
"kwa mioyo yao yote"
# kuridhisha hamu zao
"ili wale kiasi walichotaka"