# Walimjaribu Mungu Walimtaka Mungu kuthibitisha kuwa aliweza kufanya alichosema atafanya kabla ya kumwamini. # mioyoni mwao "kwa mioyo yao yote" # kuridhisha hamu zao "ili wale kiasi walichotaka"