sw_tn/psa/078/003.md

12 lines
203 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mstari wa 3 unaendeleza sentensi ya mstari wa 2.
# Hatutawatenga na uzao wao
"Hakika tutawaambia uzao wetu kuyahusu"
# matendo ya kusifu ya Yahwe
"vitu ambavyo tunamsifia Yahwe"