sw_tn/psa/077/002.md

20 lines
611 B
Markdown

# nilinyosha mikono yangu
"niliomba na mikono yangu ikiwa imenyoshwa"
# Nafsi yangu ilikataa kufarijiwa
"Nafsi" ni njia nyingine ya kusema mtu. "Sikumruhusu yeyote kujaribu kunifariji"
# Nilimuwaza Mungu na nikagumia; Nilimuwaza huku nikiishiwa nguvu
Misemo hii miwili ina maana za kufanana na inaunganishwa kwa ajili ya mkazo.
# huku nikiishiwa nguvu
"wakati nafsi yangu ikiishiwa nguvu" au "wakati nafsi yangu ilipolemewa"
# Sela
Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kiebrania, na zingine haziliweki.