sw_tn/psa/075/009.md

12 lines
285 B
Markdown

# Anasema
Mungu anasema
# nitakata pembe zote za
Pembe za mnyama ni sitiari ya nguvu ya mtu. "ondoa nguvu yote kutoka kwa"
# pembe za mwenye haki zitainuliwa juu
Pembe za mnyama ni sitiari ya nguvu ya mtu. "nitainua pembe za mwenye haki" au "nitamfanya mwenye haki kuwa na nguvu"