sw_tn/psa/072/015.md

32 lines
772 B
Markdown

# Aishi!
"Mfalme aishi muda mrefu!" au "Natamani kwamba mfalme aishi muda mrefu!"
# dhahabu ya Sheba ipewe kwake
Hii inaweza kuelezwa kwa njia ya kutenda, "na wampe dhahabu ya Sheba" au "na apokee dhahabu ya Sheba"
# siku nzima
"kwa kuendelea"
# nafaka tele
"tele" ni wakati kuna wingi wa kitu. "nafaka nyingi" au "nafaka ya kutosha"
# mazao
mimea ambayo watu huoteshi kwa ajili ya chakula
# tikisike
majani yanaposogea wakati upepo mwepesi unapoyapuliza.
# kama Lebanoni
"kama miti ya seda ya Lebanoni." Miti hii ilikuwa mizuri na ilikuwa na mbao iliyo kuwa nzuri kwa ajili ya ujenzi. Maana ya hii inaweza kuwekwa wazi.
# watu wastawi katika miji kama nyasi shambani
Mafanikio ya watu mijini yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa nyasi zinazoota mashambani.