sw_tn/psa/070/004.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown

# wanaokutafuta
Kumtafuta Mungu inaashiria kati ya 1)kumwomba Mungumsaada au 2) kumwaza Mungu na kumtii. "kukuomba msaada" au"kukuwaza na kukutii"
# washereheke na kufurahi
Misemo hii miwili inamaana sawa na inasisitiza uzito wa furaha. "kufurahi sana" au "kuwa na furaha sana"
# wanaopenda waokovu wako
Nomino dhahania ya "wokovu" inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "wanaokupenda kwa sababu umewaokoa"
# daima waseme
Hapa ni kukuza kwa neno ili kusisitiza umihimu wa kumsifu Mungu mara kwa mara.
# Mungu asifiwe
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Acha kila mtu amsifu Mungu"
# maskini na mhitaji
Hapa maneno "maskini" na "mhitaji" yanamaana ya kufanana na yanasisitiza kuwahakuweza kujihudumia mwenyewe. "mhitaji sana"
# harakisha kwangu
Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba anamkimbilia mwandishi ili amsaidie. "njoo upesi unisaidie!"
# wewe ni msaada wangu na unaniokoa
Hapa msemo "unaniokoa" unaeleza jinsi Mungu alivyo msaada wake. "unanisaidia kwa kuniokoa"
# usichelewe
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "tafadhali njoo upesi"